JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwalimu Nyerere niliyemjua (4)

3.7: Nyerere na huduma za Jamii. Ukuu wa Uzalendo,Uadilifu na Utaifawa Julius K. Nyerere pia unajidhihilisha katika eneo la huduma za jamii – Afya,  elimu na maji. Kupitia hotuba yake aliyoitoa Bungeni tarehe 29 Julai, 1985, kuhusu elimu na afya;…

Serengeti Boys mbele kwa mbele

Timu ya Taifa ya Vijana  chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’, imeendelea kufanya vema katika mashindano ya AFCON yanayoendelea nchini Gabon. Serengeti Boys imefanya jambo ambalo Watanzania wamekuwa wakilisubiri kwa muda mrefu, kushiriki na kuleta ushindani katika mashindano ya kimataifa. Timu…

News: No Longer a Mystery

News is the sole approach that makes them stay linked with the remaining portion of the world. Is it doesn’t connectivity between you and the rest of the world. Each of the present news about numerous fields ought to be…

Chozi la damu

Siku 10 baada ya kutokea ajali iliyokatisha ndoto za wanafunzi 32, walimu wawili na dereva wa Shule ya St. Lucky Vincent, JAMHURI limefanya uchunguzi wa kina kuhusu ajali hiyo na kubaini mambo ya kutisha. Mmoja wa madereva wakongwe wa shule…

Ugaidi waifilisi Benki FBME

Kufungwa kwa benki ya FBME, hapa nchini, kumetokana na tuhuma za benki hiyo kutakatisha fedha na kupitisha fedha za kufadhili ugaidi ambazo zimekuwa zikipitishiwa kwenye matawi yake ya Nicosia, Cyprus na Makao Makuu ya benki hiyo, Dar es Salaam, JAMHURI…

Wizara ya Elimu ijitathmini suala la vitabu vya kiada na ziada

Wakati Serikali ikiendelea kutekeleza mpango wa elimu bure kuanzia awali mpaka kidato cha nne, mradi ambao unaigharimu serikali takribani Sh bilioni 19 kila mwezi, imebainika vitabu vya kiada na ziada zinavyosambazwa na serikali vimejaa makosa.   Tayari wizara hiyo imeshasambaza…