Latest Posts
NSSF YAWAELIMISHA WAAJIRI KUHUSU SHERIA MPYA YA HIFADHI YA JAMII NA WAJIBU WAO ILI KULINDA HAKI ZA WANACHAMA
Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji, Bathow Mmuni, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa Semina ya Waajiri kuhusu Sheria Mpya ya Hifadhi ya Jamii iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na NSSF. Â Baadhi ya waajiri katika…
Hizi ndizo faida Zilizopatikana Baada ya Ndage kubwa Kutua Tanzania
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari amesema, kufuatia huduma waliyoitoa kwa ndege ya Emirates iliyotua nchini kwa dharura, Tanzania sasa imepanda katika viwango vya kimataifa na kufikia asilimia 64 kutoka asilimia 37 vilivyowekwa na…
Rais achukua hatua hizi dhidi ya waliohujumu fedha za mradi wa maji Dodoma
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuwatafuta na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria wahusika waliohujumu kiasi cha shilingi bilioni 2 katika mradi wa maji wa Ntomoko ulioko wilayani Kondoa. Rais Magufuli aliyasema hayo jana wilayani Kondoa…
USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA MOROGORO WASHIKA KASI
Afisa Msajili Mkoa wa Morogoro Ndg. Sererya Wambura (kulia\0 akiwa pamoja na Afisa Mchambuzi Mifumo ya Kompyuta wa NIDA Ndg. Rajabu Kabeya wakipitia ripoti za Usajili na Utambuzi wa watu za mkoa wa Morogoro. Ndg. Thabit Salum Likanyaga Mwenyekiti…
Tanzia: Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Abbas Kandoro afariki dunia
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro amefariki dunia leo Ijumaa Aprili 27, 2018 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Awali alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Kabla ya…