Latest Posts
Adhabu iliyotangazwa kwa watakaokamatwa wametupa takataka hovyo Jijini Dodoma
Siku tatu baada ya Rais Dkt Magufuli kuipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa, mtu yeyote atakayekamatwa akitupa takataka hovyo, atakamatwa na kutozwa faini ya TZS 50 milioni, ikiwa ni kwa…
SIMBA YAPATA HARUFU YAUBINGWA BAADA YA KUITANDIKA YANGA 1-0
Bao pekee la Erasto Nyoni limeipa Simba ushindi dhidi ya watani zao wa jadi Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam . Nyoni alifunga bao hilo katika dakika ya 37 kwa…
SIMBA VS YANGA LEO SAA KUMI KAMILI JIONI
Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaowakutanisha Simba na Yanga utakaochezwa leo Jumapili 29,2018 katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, utakuwa mgumu Zaidi ya chuma kutokana na historia ya timu hzio zinapokutana huwa ni vigumu kutabiri. Lakini…
CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TAWI LA CHATOA MREJESHO WA MRADI WA ONGEZEKO LA WANAWAKE KATIKA SHUGHULI ZA SIASA NA UONGOZI
Isabela Nchimbi Afisa Mradi Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA akizungumza katika mkutano wa kutoa Mrejesho wa Matokeo ya Awamu ya Kwanza ya Mradi uliokuwa na lengo la Kuchangia Ongezeko la Uwakilishi na Ushiriki wa Wanawake katika Shughuli za Uongozi na…