JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Walijaribu ushoga wakafeli, wamegeukia mimba za wanafunzi

Rais John Magufuli ameutolea uamuzi mjadala wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanaopata mimba. Rais Magufuli, akiwahutubia wananchi mkoani Pwani, amesema bayana kuwa hayuko tayari kuona wanafunzi wanaotiwa mimba wakiendelea na masomo katika shule za Serikali. Akayaambia mashirika…

Waziri Mwigulu unasubiri nini?

Kwanza nianze kwa kumsalimia kaka na rafiki yangu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. Salamu hizi ni salamu za dhati kutokana na malezi niliyopewa na walezi wangu. Shikamoo Mheshimiwa Waziri. Mwigulu ni kaka na rafiki yangu. Mtanzania…

Uvimbe na kutokwa damu kwenye njia ya haja kubwa

Unaweza kuhisi una uvimbe mdogo sehemu ya nje ya njia ya haja kubwa inayoambatana na muwasho na maumivu na wakati mwingine ukienda haja kubwa, kinyesi kinatoka kwa tabu sana na kadri unavyotumia nguvu kukisukuma ndipo maumivu kwenye ile njia ya…

Ujio wa Everton ni fursa

Tanzania imeendelea kunufaika kiuchumi na ujio wa baadhi ya wachezaji wanaokuja kupumzika baada ya kukamilika kwa ligi katika nchi hizo. Wachezaji hao ambao wengi wanatoka katika Ligi Kuu ya Uingereza wamekuja nchini kwa mapumziko ya msimu baada ya kumalizika kwa…

Majaribu Ikulu

Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Acacia, inatuhumiwa kutaka kumhonga Rais John Magufuli, Sh bilioni 300 ili aruhusu kusafirishwa kwa makontena 277 ya mchanga wa dhahabu aliyoyazuia katika Bandari ya Dar es Salaam, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Kiasi hicho cha fedha…

Utetezi wa Acacia huu hapa

Naomba kuweka wazi kuwa, pamoja na juhudi za mazungumzo kati yetu na Serikali ya Tanzania, hakuna makubaliano yoyote ya kulipa kama vyombo vya habari vinavyoendelea kuripoti. Kile kilichowasilishwa katika ripoti za kamati ya kwanza na ya pili siyo matokeo sahihi,…