JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Cosafa yaipaisha Stars

Kiwango kizuri kilichooneshwa na Taifa Stars katika mashindano ya COSAFA kwa kuifunga Bafana Bafana na kuiondoa mashindanoni, kumeisaidia kupanda katika viwango vya FIFA vya mwezi Juni mwaka huu kutoka 139 hadi 114. Stars imeshika nafasi ya 30 kwa Afrika huku…

Madini moto

Serikali imetafuna mfupa mgumu ambao umepigiwa kelele na wananchi kwa muda mrefu, kwa kupeleka bungeni miswada wa marekebisho ya sheria kuwapa Watanzania haki ya kufaidi madini yao. Sheria zinazopendekezwa kurekebishwa ni; Sheria ya Madini, Sura ya 123(The Mining Act, Cap.123),…

Polisi washiriki magendo Moshi

Askari wa Jeshi la Polisi, mgambo na baadhi ya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanatajwa kutumiwa na genge la wafanyabiashara wa mahindi kuwezesha usafirishaji mahindi kwa njia za panya kwenda nchi jirani ya Kenya, uchunguzi wa JAMHURI umebaini….

Watanzania tushikamane

Katika toleo la leo tumechapisha taarifa zinazoonyesha kuwa Serikali imechukua hatua ya kurekebisha kasoro zilizodumu kwa takriba miaka 20 katika sekta ya madini. Serikali imepeleka bungeni miswada ya sheria tatu zenye lengo la kupitia mikataba ya sasa ya madini na…

Magufuli madini historia haitakusahau

Wiki iliyopita Serikali imepeleka bungeni miswada mitatu kwa hati ya dharura. Miswada hiyo ni Muswada wa Sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi katika Mikataba ya Maliasili za Nchi wa Mwaka 2017 [The Natural Wealth and Resources Contracts (Review…

Naipenda Tanzania Yangu, Nasimama na Rais Wangu

Kila siku nashuhudia wananchi wenzangu wakikalamika. Natamani kujibu. Naacha. Natamani kuwakumbusha wananchi wenzangu. Naacha. Nasema mbona sisi ni wepesi kusahau? Natamani kuwakumbusha wabunge wenzangu. Naacha. Nasema na mimi sasa nipo kwenye Serikali. Ni mtunga sera, ni mfanya maamuzi, nikisema watasema…