JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Walivyosema kuhusu Paulo Sozigwa

Baada ya kusomwa makala zangu, watu wengi wameniletea ujumbe kwa simu ya kiganja na kwa ujumbe mfupi wa maandishi (sms). Kwa vile niko wodini hoi hapa Lugalo sikuruhusiwa kuongea na simu ila mjukuu wangu Max Mchola alikuwa ananiarifu nani kanipigia…

Tumuunge mkono Waziri Mkuu Majaliwa

Akiahirisha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Julai 5, mwaka huu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, pamoja na mambo mengine, alizungumzia sekta ya wanyamapori. Kwa wahifadhi wengi, kauli ya Waziri Mkuu imewapa matumaini mapya…

Yah: Watu wengi wanapata adhabu ambayo hawastahili, legeza kidogo

Nakumbuka siku moja mkuu wa kaya alisema atahakikisha rasilimali za Watanzania zinarudi mikononi mwa Watanzania. Wapo waliokebehi kauli hiyo lakini wapo walioelewa kuwa atajaribu kwa kipindi chake na wapo walioapiza kuwa huyu jamaa akisema jambo anamaanisha. Mpaka leo mimi sijajua…

Tuwe na ushujaa wa kweli na nasaha

Ama kweli kuna njama za kuendeleza kufisidi uchumi wa Mtanzania daima dumu. Njama hizo si ndogo ni kubwa na zinatekelezwa usiku na mchana sehemu mbalimbali nchini, Afrika na duniani kote. Nimeanza na msemo huo wa kufisidi uchumi wa Mtanzania kwa…

Matamu na machungu ya demokrasia

Nimekaa hivi karibuni kwenye kikao cha siasa kisicho rasmi na kupata fursa ya kutafakari baadhi ya masuala yaliyopo na yale yaliyopita ndani ya jamii. Nikarusha swali kwa wajumbe: ā€œUnakumbuka enzi zile ambazo raia akiwa na pesa ambayo hawezi kuelezea ameitoa…

Lugha ya Kiswahili inawaunganisha Waafrika

Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, mwasisi wa taifa la Tanzania ndiye aliyeenzi lugha adhimu na tamu ya Kiswahili na anastahili tuzo maalum kwa kutambua umuhimu wa lugha hiyo katika kuleta umoja, mshikamano, na maendeleo ndani na nje ya…