JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rubani wa Precision Air atuzwe

Wiki iliyopita rubani wa ndege ya Shirika la Precision inayoruka kutoka Nairobi kuja Dar es Salaam, Rizwan Remtura amelifanyia taifa letu kazi ya kupigiwa mfano. Rubani huyo amefanya tukio ambalo hakuna aliyepata kuliwaza na ni tukio ambalo likitazamwa kwa mapana…

Serikali yampatia tuzo Dk. Jane Goodall

Huwezi kuzungumzia kuhusu Hifadhi za Taifa za Gombe, pamoja na ile ya Milima ya Mahale, bila kutaja jina la Dk. Jane Goodall, ambaye ametumia miaka zaidi ya 57 katika kutafiti maisha na tabia za sokwe. Katika kutambua jitihada zake, Serikali…

Bandari yaboresha huduma

Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeanza kuwa na mabadiliko makubwa ya kiutendaji katika kipindi cha miaka miwili iliyopita. Katika kudadisi hilo, Mwandishi Maalum amefanya mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit C.V. Kakoko yanayobainisha hatua baada ya nyingine juu…

Ndugu Rais simama mwenyewe baba

Ndugu Rais, wako watu wema wengi sana katika nchi hii ambao wana fikra nzito zilizo juu ya vyama vya siasa. Kwao wao ni nchi yangu kwanza! Na kama mkosi vile wako pia watu wenye fikra finyu kabisa ambao fikra zao…

Wanaume tuzungumze kuhusu ukosefu wa nguvu zetu za kijinsia

Wanaume wengi wanapitia matatizo mbalimbali yanayohusiana na ukosefu wa nguvu za kiume katika kipindi tofauti, hasa wanapofikia umri wa utu uzima unaokaribiana na uzee, hata hivyo matatizo haya mara nyingi husababishwa na magonjwa mengine. Ukosefu wa nguvu za kiume ni…

Tuwatundike viongozi wa Afrika msalabani

Nachukua fursa hii kumpongeza Padre Vedasto Ngowi kwa makala zake mbili zilizopita katika gazeti la Raia Mwema. Makala ya kwanza ilikuwa inasema, ‘Ngozi nyeusi, Kinyago cheupe’. Makala ya pili ilikuwa inasema; Historia yetu inahitaji kuponywa? Rejea gazeti la Raia Mwema,…