JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Bandari yaboresha huduma

Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeanza kuwa na mabadiliko makubwa ya kiutendaji katika kipindi cha miaka miwili iliyopita. Katika kudadisi hilo, Mwandishi Maalum amefanya mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit C.V. Kakoko yanayobainisha hatua baada ya nyingine juu…

Ndugu Rais simama mwenyewe baba

Ndugu Rais, wako watu wema wengi sana katika nchi hii ambao wana fikra nzito zilizo juu ya vyama vya siasa. Kwao wao ni nchi yangu kwanza! Na kama mkosi vile wako pia watu wenye fikra finyu kabisa ambao fikra zao…

Wanaume tuzungumze kuhusu ukosefu wa nguvu zetu za kijinsia

Wanaume wengi wanapitia matatizo mbalimbali yanayohusiana na ukosefu wa nguvu za kiume katika kipindi tofauti, hasa wanapofikia umri wa utu uzima unaokaribiana na uzee, hata hivyo matatizo haya mara nyingi husababishwa na magonjwa mengine. Ukosefu wa nguvu za kiume ni…

Tuwatundike viongozi wa Afrika msalabani

Nachukua fursa hii kumpongeza Padre Vedasto Ngowi kwa makala zake mbili zilizopita katika gazeti la Raia Mwema. Makala ya kwanza ilikuwa inasema, ‘Ngozi nyeusi, Kinyago cheupe’. Makala ya pili ilikuwa inasema; Historia yetu inahitaji kuponywa? Rejea gazeti la Raia Mwema,…

Funzo kutoka kwenye kodi ya majengo

Mamia kwa maelfu ya wananchi, wamejitokeza na wanaendelea kujitokeza kulipa kodi ya majengo. Muda uliopangwa ulipungua. Umeongezwa kwa wiki kadhaa, lakini bado idadi ya watu wanaojitokeza kulipa ni kubwa mno. Maombi ya wananchi ya kuomba kuongezewa muda yameitikiwa na Mamlaka…

Je, Katiba inanyumbulika?

“Laiti ingelikuwa, laiti ingelikuwa Katiba haingefupisha muda fulani, mimi ningeshauri hapa huyu bwana awe rais siku zote…” Kauli hiyo ilitolewa tarehe 26 Juni, 2017 na Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, wakati wa kutoa…