Latest Posts
Wafungwa wanavyoteswa Shinyanga
Na Mwandishi Wetu, Shinyanga Vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu katika magereza nchini vinaendelea licha ya Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa mbalimbali duniani yaliyokubaliana kukomesha vitendo hivyo. Mbali na matamko ya kisera ambayo Tanzania imeridhia kwenye ngazi ya kikanda…
Nyerere: “Kama idadi ingekuwa ngamia, Afrika ingekuwa juu”
Haya ni maneno aliyoyasema Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika siku ya maadhimisho ya miaka 40 ya Uhuru Ghana, jijini Accra, mwaka 1997. Alizitaka nchi za Afrika kuungana kuwa na nguvu ya kiuchumi na sauti kubwa zaidi kwani pamoja na…
AJALI: WATU 3 WAMFARIKI NA WENGINE 5 WAMEJERUHIWA KWA AJALI YA GARI, BOKO, DAR
AJALI : Watu 3 wamefariki dunia na wengine 5 wamejeruhiwa katika ajali ambayo imetokea jioni hii eneo la Boko Magengeni Manispaa ya Kinondoni ajali hiyo imehusisha magari matatu ikiwemo gari la kubebea michanga na basi la wanafunzi Mkuu wa Trafiki…
JAJI MKUU AZINDUA MAFUNZO YA UONGOZI KWA MAJAJI
Jaji Mkuu, Prof Ibrahimu Juma, akizungumza jambo katika hafla hiyo. Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo. Prof Juma akizungumza na waandishi wa habari. …Akiwa na majaji katika picha ya pamoja. JAJI Mkuu Prof Ibrahimu Juma amefungua mafunzo elekezi kwa…
Taarifa ya serikali kuhusu Uhaba wa bidhaa ya mafuta ya kula
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amelieleza Bunge kuwa, kuna hazina ya kutosha ya mafuta ghafi ya kula. Kwa mujibu wa Waziri Mwijage, kwenye hifadhi ya matenki ya mafuta ghafi ya kula jijini Dar es Salaam kuna mafuta…
TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga Jack ‘Africa’ Chamangwana afariki dunia afariki dunia
Kocha wa zamani wa Yanga, Jack ‘Africa’ Chamangwana amefariki dunia jana jioni Mei 6, 2018 baada ya kuugua ghafla na kulazwa katika Hospitali ya Malkia Elizabeth jijini Blantyre. Kocha huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka 61 ameripotiwa kuwa alikuwa…