JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Hisia ovu za kishirikina zinavyosumbua jamii Bukoba Vijijini

Na Prudence Karugendo   KAMULI ni kijiji kilichomo Kata ya Kibilizi, Tarafa ya Rubale,  Bukoba Vijini, mkoani Kagera. Kwenye kijiji hicho kumejitokeza hisia na imani za kishirikina ambazo zimeanza kuwafanya wananchi kukosa amani na kuanza kuishi kwa mashaka makubwa kwa…

Ngeleja: Escrow haijaniyumbisha

Na Thobias Mwanakatwe   JINA la William Mganga Ngeleja lilianza kufahamika zaidi ndani na nje ya nchi mara tu baada ya kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2005 katika Jimbo la Sengerema, mkoani Geita na kuwashinda wagombea wenzake…

Lugha isivunje nguzo zetu za Taifa

Na Angalieni Mpendu Lugha yoyote ni chombo cha lazima kwa mawasiliano na uelewano kati ya wanadamu. Lugha ikitumika vizuri na kwa ufasaha katika kundi moja na jingine au Taifa moja na taifa jingine huleta tija, maendeleo na uhusiano mwema. Ikitumika…

Yah: Tukumbushane mambo muhimu, tusidanganyane na umamboleo

Siku zote nawaambia kwamba miye umri ulinitupa mkono lakini kila siku napenda kuenzi kazi za mikono na thamani ya watu muhimu waliolitendea mema Taifa hili, thamani yao itazidi kuwa na maana kama sisi tuliopo tutaenzi na kuthamini kwa maana ya…

IPTL moto

Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (Ewura) huenda ikaanzisha upya mchakato wa kuongeza ama kutoongeza muda wa leseni kwa miezi 55, baada ya mchakato wa mwanzo baada ya Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kuomba…

Mtetezi wa uhifadhi afungwa Loliondo

Mtetezi wa uhifadhi katika Pori Tengefu la Loliondo, Gabriel ole Killel, amefungwa gerezani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni chuki kutoka kwa viongozi wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) ambao amekuwa akiwapinga. Killel ambaye ni Mkurugenzi wa NGO ya KIDUPO, amefungwa…