JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Haya ndiyo Makazi mapya Ya Mama Samia Suluhu Mjini Dodoma

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua matengenezo ya makazi ya muda yanayotarajiwa kutumiwa na Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan pindi atakapohamia Dodoma. Waziri Mkuu amefanya ukaguzi huo katika eneo la Kilimani, mjini Dodoma ambako yalikuwa makazi ya Mkuu…

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi 6

Rais Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi 6 za taasisi za Serikali baada ya wenyeviti waliokuwepo kumaliza muda wao. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 06 Desemba, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kwanza Mhe. Rais…

TANZIA: Mkuu wa Mkoa Joel Bendera Afariki Dunia

Mkuu wa Mkoa wa Manyara mstaafu, Joel Bendera amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo Jumatano Desemba 6,2017 . Msemaji wa Muhimbili, Aminiel Aligaesha amesema, “Ni kweli Joel Bendera amefariki. Aliletwa leo na gari la wagonjwa saa 6:30 mchana…

Madabida Atiwa Tena Mbaroni

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano wamekamatwa tena leo baada ya muda mfupi kufutiwa mashtaka ya kusambaza dawa feki za kufubaza makali ya ukimwi (ARV) na kujipatia Sh milioni 148 kwa…

Hivi Ndivyo Rais Mstaafu Aly Hassan Mwinyi alivyomtembelea Tundu Lissu Hospitalini Nchini Kenya

Rais mstaafu Aly Hassan Mwinyi amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini Kenya. Rais Mwinyi akiambatana na mkewe na maofisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya, wamemtembelea Lissu hospitalini hapo alipolazwa tangu Septemba 7 …

Mambosasa: Hatuna Mpango wa Kuendelea na Kesi ya Dk Shika

Lazaro Mambosasa ambaye niKamanda wa Polisi Kanda Maalumu yaDar es Salaam, amesema kesi ya Dk Louis Shika hawataendelea nayo kwa kuwa nyumba tatu za mfanyabiashara maarufu Said Lugumi alizoahidi kuzinunua zote zipo. Novemba 9, 2017 kampuni ya udalali ya Yono…