Latest Posts
Chadema yahofia wapiga kura wachache
NA WAANDISHI WETU Takribani siku nne kabla ya kufanyika uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na Siha mkoani Kilimanjaro, hofu ya kujitokeza wapiga kura wachache imeibuka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHDEMA). Mgombea ubunge katika…
Usajili wachezaji wa kigeni uzingatie vigezo
NA MICHAEL SARUNGI Usajili wa wachezaji wa kigeni usiozingatia vigezo vinavyotakiwa umesababisha klabu nyingi zinazocheza Ligi ya Vodacom Tanzania Bara kujikuta zikisajili wachezaji wasiokuwa na viwango na kusababisha kukosa nafasi za kucheza na kuishia kukaa benchi. Wakizungumza na JAMHURI kwa…
AFYA: Usizidharau dalili hizi
Hizi ni dalili mbalimbali zinazojitokeza kwenye miili yetu. Japo zinaweza zisiashirie tatizo, lakini kama ikitokea zinajirudia mara kwa mara ni vyema kupata vipimo na ushauri wa kiafya. Dalili ya kwanza ni udhaifu wa kwenye miguu na mikono kunakoambatana na ganzi….
Demokrasia iliyotundikwa msalabani
Mwaka 2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa taifa letu la Tanzania, niliandika makala nyingi katika gazeti hili la JAMHURI. Makala zangu zilikuwa zinakosoa mwenendo wa chama tawala (CCM). Sihitaji kusimulia kilichonitokea lakini inatosha kudokeza kiduchu: ‘Niliambulia vitisho vya kuondolewa uhai…
Ndugu Rais dunia hadaa ulimwengu shujaa
Ndugu Rais, dunia tuliikuta na dunia tutaiacha. Niliwahi kusema kuwa kila mtu kila msiba anaohudhuria humkumbusha misiba yake iliyopita. Kama umefiwa na baba, mama, mtoto au ndugu aliyekugusa wakati wa msiba unakumbuka zaidi! Msiba umetokea na baba nilikuona. Msiba huu…
Vyeti ‘feki’ vyaendelea kuitesa ORCI
NA CLEMENT MAGEMBE DAR ES SALAAM Sakata la kuwaondoa kazini watumishi waliokuwa na vyeti `feki’ linadaiwa kuitesa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) jijini Dar es Salaam, kwa wafanyakazi waliobaki kuzidiwa na utoaji huduma kwa wahitaji hususani wagonjwa. Taarifa…