Latest Posts
Uhuru wa habari uanzie kwenye vyumba vya habari
DODOMA. EDITHA MAJURA. Serikali na Vyombo vya habari, wametuhumiana kuminya uhuru wa vyombo vya habari nchini. Wakati serikali ikituhumiwa kutofanya vizuri katika kudhibiti usalama wa wanahabari wanapotekeleza majukumu yao, serikali nayo imesema vyombo vya habari vinaminya maslahi ya wanahabari kiasi…
Tuboreshe elimu, tutokomeze utoro
MTAZAMO. NA ALEX KAZENGA Wakati bunge likijadili kupitisha bajeti ya Sh trilioni 1.4 iliyoletwa na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi kwa mwaka wa fedha 2018/19, wabunge waliochangia bajeti hiyo wameonya kuhusu ubora na viwango vya elimu visivyoridhisha. Katika…
Viwanja vitakavyotumika Kombe la Dunia Hivi Hapa
Nchi 32 wanachama wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) zinatarajiwa kwenda nchini Urusi kushiriki michuano ya kombe la dunia, viwanja 11 vinavyotarajiwa kutumika nchini humo ni vifuatavyo Luzhniki Stadium, Moscow Hiki ni kiwanja kikubwa kuliko vyote nchini humo na…
Wafungwa wanavyoteswa Shinyanga
Na Mwandishi Wetu, Shinyanga Vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu katika magereza nchini vinaendelea licha ya Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa mbalimbali duniani yaliyokubaliana kukomesha vitendo hivyo. Mbali na matamko ya kisera ambayo Tanzania imeridhia kwenye ngazi ya kikanda…