JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu aachiwa huru

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wameachiwa huru leo jijini Mbeya. Wawili hao walikuwa katika Gereza la Ruanda Jijini Mbeya walikokuwa wakitumikia kifungo cha miezi (5) baada ya kukutwa na…

Yanga Yapania Kushinda Mechi zote Zilizobakia

Baada ya kusalimu amri kwa kuipa nafasi Simba ya kuutwaa ubingwa wa ligi msimu huu, Yanga wamesema watapambana kushinda mechi zote zilizosalia. Kupitia kwa Afisa wa Habari wa Yanga, Dismas Ten, ameeleza kuwa Yanga inahitaji heshima ya kushinda mechi zote…

Elimu ya kujitegemea … (3)

Hotuba ya Baba wa Taifa aliyoitoa March, 1967 Twajaribu Kujenga Taifa la Namna Gani? Maana yake neno hili ni kwamba mipango ya elimu katika Tanzania haina budi kutilia mkazo juhudi ya pamoja siyo maendeleo ya mtu mmoja binafsi. Elimu haina…

Adhabu ya kifo tuiache ilivyo

Nimemsikia hii hivi karibuni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, akielezea ugumu wa kubadilisha Sheria ya Ndoa ya 1971. Alitaja mila na desturi, dini, na itikadi kama masuala yanayosababisha ugumu wa kuleta mabadiliko katika sheria hiyo. Kwa kifupi,…

Hata Mkurugenzi wa Vodacom atoke Kenya?

Kuna taarifa kwamba kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, inakusudia kumleta raia wa Kenya kuwa Mkurugenzi Mkuu! Sijadili kwa sababu anayekusudiwa kuletwa ni Mkenya, la hasha! Najadili hoja hii kwa sababu siamini kama Watanzania, kwa mamilioni tumemkosa mmoja…