Latest Posts
Marekani Kufungua Ubalozi Mpya leo Mjini Jerusalem
Marekani itafunguq ubalozi wake mpya mjini Jerusalem hatua ambayo imesifiwa na Israel na kulaaniwa na Wapalestina ambao wanakusanyika kwa maandamano makubwa. Maafisa wa vyeo vya juu kutoka Marekani watahudhuria sherehe hiyo leo akiwemo binti ya Rais wa Marekani Donald Trump…
TUNAWATAKIA SIKU YAFURAHA AKINA MAMA WOTE DUNIANI
Leo ni siku ya Mama duniani hivyo Kampuni ya Jamhuri Media inatambua mchango mkubwa uliotokana/ unatokona na Mama hivyo tunaungana na kina mama wote kuwatakia siku yao #Hakuna kama Mama
Jiji la Mbeya Kuwaka Moto, leo kati ya Mbeya City VS Prisons
Ni vita kubwa leo jiji Mbeya, ambapo pale wafalme wawili katika jiji hilo, Mbeya City na Tanzania Prisons. Watakapokutana kwenye mchezo wa ligi kuu kutafuta point 3. Mbeya City wanaingia katika mchezo huo wakiwa wameachwa alama 15 na Tanzania Prisons…
Serikali Yafafanua utakaotumika wa kupima watu UKIMWI kwenye Baa
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema upimaji wa Kifua Kikuu (TB) na UKIMWI kwenye baa hautakuwa wa lazima. Waziri wa Afya ameyasema hayo baada ya kuzuka hofu miongoni mwa wananchi ambapo baadhi ya…