Latest Posts
MTU NA MPENZI WAKE WANG’ATWA NA FISI KICHAKANI
Mtu na mpenzi wake , wakazi wa wilaya ya Igunga, Tabora wameng’atwa na fisi kichakani walipotaka kufanya Mapenzi. katika tukio hilo mwanamke Mwajuma Masanja (37) Mkazi wa kijiji cha Iduguta , alifariki baada ya kushambuliwa viabaya na fisiw huyo huku…
Lulu Abadilishiwa Adhabu, Sasa Atatumikia kifungo cha Nje
Hivi Punde: Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania. Magereza yaeleza kuwa, Lulu atatumikia kifungo cha nje kuanzia sasa
Marekani Kufungua Ubalozi Mpya leo Mjini Jerusalem
Marekani itafunguq ubalozi wake mpya mjini Jerusalem hatua ambayo imesifiwa na Israel na kulaaniwa na Wapalestina ambao wanakusanyika kwa maandamano makubwa. Maafisa wa vyeo vya juu kutoka Marekani watahudhuria sherehe hiyo leo akiwemo binti ya Rais wa Marekani Donald Trump…
TUNAWATAKIA SIKU YAFURAHA AKINA MAMA WOTE DUNIANI
Leo ni siku ya Mama duniani hivyo Kampuni ya Jamhuri Media inatambua mchango mkubwa uliotokana/ unatokona na Mama hivyo tunaungana na kina mama wote kuwatakia siku yao #Hakuna kama Mama
Jiji la Mbeya Kuwaka Moto, leo kati ya Mbeya City VS Prisons
Ni vita kubwa leo jiji Mbeya, ambapo pale wafalme wawili katika jiji hilo, Mbeya City na Tanzania Prisons. Watakapokutana kwenye mchezo wa ligi kuu kutafuta point 3. Mbeya City wanaingia katika mchezo huo wakiwa wameachwa alama 15 na Tanzania Prisons…