JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tusifanye Makosa Kurejea Kwenye Chama Kimoja  

Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wimbi kubwa la madiwani na wabunge wanaovihama vyama vyao. Walianza madiwani watano wa Arumeru Mashariki, wakafuata wenzao mkoani Kilimanjaro, kisha ikawa zamu ya wengine watatu wa Manispaa ya Iringa. Hawa wote walikuwa wa Chama cha…

Ndugu Rais Tumeipuuzia Asili Aasa Tunawayawaya

Ndugu Rais, Tanzania kama sehemu nyingine ya Afrika tulikuwa na mambo mengi sana ya asili ambayo tumeyatelekeza baada ya wakoloni kuja kutuamulia yapi tuyaendeleze na yapi tuyatupe kabisa. Ni kweli sikumbuki ni lipi la asili ambalo wakoloni walituachia wakitutaka tuliendeleze….

KESI YA LEMA KUTOA MANENO YA UCHOCHEZI DHIDI YA JPM: USHAHIDI WAANZA KUTOLEWA

Shahidi wa kwanza katika kesi ya kudaiwa kutoa lugha ya uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli inayomkabili mbunge wa jimbo la Arusha mjini, Godbless Lema ameieleza mahakama kwamba  alimtolea bastola mbunge huyo kwa kuwa alikuwa akijaribu kutoroka. Shahidi huyo, Damas Masawe…

JPM: WANAOPOTOSHA ‘VYUMA VIMEKAZA’ WASHUGHULIKIWE

RAIS Dkt. John Magufuli ametoa agizo kwa Mamlaka ya Takwimu ya Taifa (NBS) kuwachukuliwa hatua haraka mashirika, taasisi na watu wanaotoa takwimu potofu kuhusu ukuaji wa uchumi wa nchi na mambo mengine ya serikali ikiwemo kuwakamata na kuwafikisha mahakamani.  “Wanaosema…

ALIYETEULIWA KUWANIA UBUNGE WA SINGIDA KASKAZINI KWA TIKETI YA CHADEMA AJIENGUA

SIKU moja baada ya NEC kuanika majina ya wagombe huku jina lake likitajwa kuwa miongoni mwao, Djumbe Joseph aliyepitishwa na (NEC) kugombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameandika barua ya kujitoa…

JPM ABAINI AIRTEL NI MALI YA SERIKALI KWA ASILIMIA 100

RAIS John Magufuli amesema Serikali imebaini kuwa kampuni ya Mawasiliano ya Bharti Airtel ni mali ya Shirika la Mawasiliani Tanzania (TTCL) kumwagiza Waziri wa fedha na mipango kufuatilia suala hilo haraka ili Airtel irudishwe kumilikiwa na serikali. Rais ameyasema hayo…