Latest Posts
Ubalozi wa Iran mjini Damascus washambuliwa – ripoti
Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa ubalozi wa Iran mjini Damascus umeshambuliwa. Video iliyochapishwa na Shirika la Habari la Kiarabu la Al Arabiya inaonesha uharibifu wa sehemu ya nje ya jengo hilo, ikiwa ni pamoja na madirisha yaliyovunjika, na…
Tujenge utamaduni wa kupima afya zetu
Na John Francis Haule, JamhuriMedia, Arusha Kila ifikapo tarehe Mosi Desemba, dunia inaadhimisha Siku ya UKIMWI, ikiwa ni kumbukumbu ya kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa wa Virusi vya UKIMWI (VVU) na jinsi ya kuepuka maambukizi yake. Maradhi haya, tangu yalipoanza kuikumba…
Tume ya Ushindani yachagiza wawekezaji kukimbilia soko lanushindani Mafia
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Tume ya Ushindani (FCC) inachagiza wawekezaji kujitokeza na kuchangamkia fursa za kuwekeza katika sekta ya utalii na uchumi wa bluu wilayani Mafia. Tume hiyo imesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa wawekezaji kuingia sokoni bila hofu…
Karatu wachangamkia majiko ya ruzuku
📌Mamia wajitokeza📌Waipongeza Serikali kwa mkakati huo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wananchi Wilayani Karatu Mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya kilo sita (LPG) yanayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na Kampuni ya Lake Gas kwa…
Arusha kufanya maombi miaka 63 ya uhuru
MKOA wa Arusha utaadhimisha miaka 63 ya Uhuru kwa kufanya kongamano kubwa la maombi kwa ajili ya kuombea mkoa huo dhidi ya changamoto zinazokumba jamii ya mkoa wa kaskazini mwa Tanzania Akizungumzia madhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul…
Serikali kuunda chombo kusimamia mikataba yake
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo serikali inaingia. Hatua hiyo ya kunusuru nchi kuingia katika mikataba yenye masharti hasi na inayoigharimu serikali. Amesema hayo wakati…