JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tusimamie utawala wa sheria

Katika maendeleo ya nchi na jamii msingi wa utawala wa sheria ndio hasa huleta ulinganifu kwa aliyenacho na asiyenacho. Hivyo ni msingi huo pekee haki huonekana imetengendeka. Kumekuwepo na kilio hasa kutoka kwa wanyonge pindi wanapoona hawajatendewa haki na mamlaka…

Waziri Mpina ziba masikio

Mjadala uliohusu vita dhidi ya uvuvi haramu ulitawala sehemu kubwa ya bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, bungeni jijini Dodoma, wiki iliyopita. Pengine kabla ya kuendelea, ni vizuri tukafahamu kazi za mbunge. Mbunge ana kazi nyingi, lakini zilizo kuu…

Uongozi siyo kazi ya rais peke yake

Juma lililopita Rais John Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam iliyoibua masuala kadhaa. Madhumuni ya ziara yalikuwa kuhakiki iwapo mafuta yaliyohifadhiwa kwenye matangi hapo bandarini yalikuwa ghafi au la, ili kubaini ushuru sahihi wa kulipia…

Ndugu Rais tumwache Akwilina apumzike kwa amani

Ndugu Rais, umebarikiwa wewe kwa sababu unatambua uwepo wa ukweli. Wakati wengine wakisema ukweli unauma, wewe umeihubiri kweli bila kuchoka. Mwenyezi Mungu akuimarishe ili uiishi hiyo kweli. Kweli ni dhahiri yaani bila uongo. Yako mengi yaliyosemwa juu ya kweli. Kamusi…

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani amethibitisha

MAOFISA watatu wa Kituo cha Uwekezaji cha nchini  (Tanzania Investment Center (TIC) wamefariki dunia katika  ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Chalinze wakiwa njiani kuelekea jijini Dodoma. Waliofariki ni Saidi Amiri Moshi (Kaimu Mkurugenzi wa Research zamani…

Bandari ya Mwanza kiunganishi Maziwa Makuu

Na Mwandishi Maalum   Baada ya kuona jinsi Bandari ya Kyela inavyoing’arisha kiuchumi na kijamii Kanda ya Juu Kusini na nchi jirani za Malawi, Msumbiji na Zambia wiki iliyopita, katika makala haya tutaona jinsi Bandari ya Mwanza ilivyo kiungo muhimu…