JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ndugu Rais, Maisha Yangu na Baada ya Miaka 50

Ndugu Rais, waaminio katika juzuu wanasema chapisha au potea. Najua iko siku sitakuwapo katika ulimwengu huu wa mateso kwa sababu sote tunapita tu hapa duniani. Sijui Mwenyezi Mungu ametupangia siku ngapi za kuishi, mimi na wengine. Lakini tuzikumbuke siku za…

Majibizano Hayasaidii Ujenzi wa Demokrasia

Katika siku za karibuni kumekuwapo na malumbano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Malumbano hayo yalitokana na kada wa Chadema, David Djumbe, aliyepitishwa na NEC kuwania kiti hicho, kuwasilisha barua ya kujitoa…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 29, 2017

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Disemba, 29, 2017 nimekuekea hapa

Wachina Waamua Kujitosa Muhogo Tanzania

Leo naomba kuanza makala yangu kwa kukutakia heri ya Krismasi mpendwa msomaji wangu. Lakini pia nichukue fursa hii kuwashukuru nyote mlioniletea salaam za pole kwa wiki yote iliyopita wakati nimelazwa na kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es…

Chama cha Siasa ni Umoja

Wapo wanasiasa nchini ambao wamezua mtindo wa kuhama kutoka chama kimoja cha siasa na kujiunga na chama kingine. Na wakati mwingine wamekuwa wakihama kwenda chama kingine, lakini baadaye wakirudi katika chama cha awali. Sababu zinazoelezwa kuhusiana na hatua hiyo ni…

WALLANCE KARIA APIGA MARUFUKU MASHINDO YASIYOTAMBULIKA NA TFF

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amefuta mashindano yoyote ya soka yaliyo nje ya mfumo wa shirikisho hilo isipokuwa tu kwa kibali maalum. Karia ameyasema hayo katika Mkutano wake na Wahariri wa vyombo vya habari ambapo amesema…