Latest Posts
REAL MADRID MABINGWA ULAYA, WAMEWATANDIKA LIVERPOOL MABAO 3-1
Real Madrid ya Hispania usiku huu wamefanikiwa kunyakua taji la Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuwalaza Liverpool kwa mabao 3-1. Awali mchezo huo, ulikuwa wa kasi na kuvutia, ambapo dakika 45 za kipindi cha kwanza milango ilikuwa migumu na matokeo…
Mbunge wa CHADEMA amefariki
Mbunge wa jimbo la Buyungu mkoani Kigoma, Kasuku Samson Bilago (CHADEMA) amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili. Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amethibitisha Marehemu Bilango alikua anakabiliwa na maradhi ya utumbo, ambapo alisafirishwa kwa…
Viongozi wa Korea wafanya mkutano wa ghafla
Viongozi wa Korea Kaskazini na Kusini wamekutana eneo lenye ulinzi mkali kati ya nchi hizo mbili. Mkutano huo ndio wa pili kati ya rais wa Korea Kusini Moon Jae-in na kiongozi wa Korea Kusini Kim Jong-un. Unafanyika wakati pande…
Ajali ya barabarani Uganda yauwa 23, kujeruhi 25
Watu 23 wamefariki dunia na wengine 25 wamejeruhiwa kwa ajali mbaya basi iliyotokea wilaya ya Kiryandongo nchini Uganda. Polisi wamesema basi linalomilikiwa na kampuni ya Gaagaa bus liligonga trekta kwa nyuma na baada ya hapo, kupoteza muelekeo na kusababisha kugongana…
Mr Nice Karudi tena kwenye game, Sikiliza Ngoma yake Mpya “Wanabaki Hoii”
Msanii mkongwe wa muziki, Mr Nice ameachia video yake mpya ya wimbo, ‘Wanabaki Hooii’ akiwa katika muonekano tofauti kabisa. https://youtu.be/KBuFmDxkzqo