JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Uzalendo si Suala la Hiari

Desemba 8, mwaka huu, Taifa letu lilizindua kampeni ya Uzalendo hapa nchini. Uzinduzi ule ulifanyika Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete na ulifanywa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya Rais John Magufuli. Hili ni jambo zuri…

Nampongeza Rais Kurudisha Uwajibikaji

Namshukuru sana Rais John Magufuli kwa kurudisha uwajibikaji. Mimi ni mzee mwenye umri wa miaka 94 nikiwa miongoni mwa askari tuliopigana vita ya KAR ya mwaka 1952, namba yangu ilikuwa A.181300135. Malkia wa Uingereza alituma fedha za fidia lakini hatujalipwa…

HAWA HAPA WANACHAMA WA CUF WALIOJIUNGA NA CCM, RUANGWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama wapya 60 kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM). Wanachama hao wamepokelewa jana (Ijumaa, Desemba 29, 2017) kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Nkowe kata ya Nkowe,…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 30, 2017

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumamosi Disemba, 30, 2017 nimekuekea hapa

Waziri Jafo Aitaka TBA Kufanya Kazi kwa Wakati

Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –TAMISEMI ,SELELAM JAFO amesema i WAKALA WA MAJENGO TANZANIA –TBA  umekuwa kikwazo katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi wa majengo ya Serikali. Ametoa kauli hiyo wilayani…

BENK KUU YAITAKA AIRTEL KUWASILISHA TAARIFA ZAKE ZA KUANZIA 2000

Kufuatia sakata la umiliki wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Disemba 28, 2017 iliziandikia benki zote na taasisi za kifedha ambazo zimekuwa zikisimamia akaunti za iliyokuwa Celtel, Zain au Airtel kuwasilisha taarifa hizo. BoT imezitaka…