Latest Posts
Mugabe Agoma Kwenda Bungeni Kuhojiwa
RAIS wa zamani wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe, amepuuza wito wa Bunge la nchi hiyo likimtaka afike mbele ya kamati yake inayochunguza mapato ya almasi. Mbunge anayeongoza kamati ya madini na nishati amesema Mugabe alikuwa amebakiwa na fursa moja tu…
Simba, Yanga,Gor Mahia, AFC Leopard Kukutana kwenye Mashindano ya SportPesa Super Cup
Baada ya kushindwa kutamba mbele ya Azam FC kwa kupata kipigo chama bao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeanza kujipanga na mashindano ya SportPesa Super Cup. Michuano hiyo inatarajia kuanza Juni 3 mpaka 10 jijini Nairobi nchini…
Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich apata uraia Israel
Bilionea wa Urusi ambaye ni mmiliki wa klabu ya soka ya Chelsea ya England Roman Abramovich, amesafiri kwa ndege hadi Tel Aviv baada ya kupata haki ya uraia wa Israel. Maafisa wa uhamiaji wamesema kuwa alihojiwa wiki iliyopita kwenye ubalozi…
CCM WAKUBALI KINANA KUJIUZULU
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imepokea ombi la kustaafu kwa Ndg. Abdulrahman Kinana katika nafasi yake ya Katibu Mkuu pamoja na majukumu yake. Kamati hiyo wameridhia kwa pamoja ombi lake na wamemtakia mafanikio mema katika shughuri zake
Bado Tunakukumbuka Albert Mangweir
Leo wanamuziki na wadau wa burudani nchini Tanzania wanakumbuka miaka mitano ya kifo cha msanii wa miondoko ya kufokafoka Albert Mangwair. Mangwair ambaye alikuwa mmoja ya wasanii nguli nchini alizaliwa Novemba 16 1982 mkoani Mbeya na kufariki Mei 28 2013…
DK. SALEH ALI SHEIKH: TANZANIA NI MFANO WA KUIGWA
WAZIRI wa Mambo ya Dini wa Saudi Arabia, Dk. Saleh Ali Sheikh amesema Tanzania ni mfano wa kuigwa na nchi nyingine kutokana na amani iliyopo. Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumapili, Mei 27, 2018) wakati akitoa nasaha kwa wageni…