JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Afrika kupeta Urusi Moscow, Urusi

Kombe la dunia linaanza siku tisa zijazo kuanzia leo. Afrika inawakilishwa 5 katika mashindano hayo yanayochezwa nchini Urusi na wachambuzi wanasema Afrika inayo nafasi zamu hii. Leo tunakuletea makundi ya timu hizi na wiki ijayo tutakuletea ratiba yote ya michuano…

Sudan Kusini kuwekewa vikwazo

JUBA Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limezipa muda wa mwezi mmoja pande hasimu zinazogombana nchini Sudan Kusini kufikia makubaliano vinginevyo nchi hiyo ijiandae kukabiliana na vikwazo. Mchakato huo uliongozwa na Marekani ndani ya Umoja huo ulipata ushindi mdogo…

Bomu la watu laja Afrika – mwisho

Na Deodatus Balile Mwezi uliopita nimefanya mapitio ya kitabu kiitwacho “Making Africa Work”. Tafsiri isiyo rasmi ya jina la kitabu hiki ni “Mbinu za Afrika kujikwamua kiuchumi.” Kimeandikwa na Greg Mills, Olusegun Obasanjo (Rais mstaafu wa Nigeria), Jeffrey Herbst na…

Waziri Mkuu Matatani

UKWAPUAJI MALI ZA CCM   Waziri Mkuu yumo *Anunua shule ya Chama, abanwa, airejesha chapuchapu *Yeye, Dk. Bashiru Ali wakwepa waandishi wa JAMHURI *Wajumbe NEC wataka achunguzwe mali anazomiliki *Wamlinganisha Rais Magufuli na Nyerere kwa uadilifu     NA WAANDISHI…

Fred kufanyiwa vipimo kukamilisha usajili Man United

Kwa mujibu wa vyanzo vya sky sports ya nchini Uingereza vinaeleza kuwa mchezaji wa kimataifa wa Brazil, Fred anayechezea klabu ya Shakhtar Donesk ya nchini Ukraine anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya jumatatu hii ili kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na…

REKODI YA YANGA SC TANGU AONDOKE LWANDAMINA

Hapa nimekuwekea michezo na Matokeo yote waliyoyapa yanga baada ya Kuondoka kocha wao  Lwandamina   Aprili 11, 2018; Yanga 1-1 Singida United (Ligi Kuu Dar es Salaam) Aprili 18, 2018; Welayta Dicha 1-0 Yanga SC (Kombe la Shirikisho) Aprili 22,…