Latest Posts
LEO NI SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI DUNIANI
Leo June 13 ni siku ya Uelewa wa watu wenye Ualbino Duniani ambapo kwa Tanzania kitaifa inafanyika mkoani Simiyu. Pamoja na kampeni mbalimbali jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi bado inaishi kwa mashaka kutokana vitendo vya imani potofu ambavyo…
WANUNUZI WA PAMBA WAISHUKURU SERIKALI
WANUNUZI wa zao la pamba wameishukuru Serikari kwa kuweka mfumo mzuri wa ununuzi wa zao hilo, ambalo kwa mwaka huu linauzwa kupitia katika minada inayosimamiwa na Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS). Hata hivyo wanunuzi hao wameiomba Serikali kuziwezesha…
KOCHA WA TAIFA WA HISPANIA ACHUKUA MIKOBA YA ZIDANE REAL MADRIDI
Kocha Julen Lopetegui ametangazwa kuchukua mikoba ya Kocha Zinedine Zidane aliyeamua kuachia ngazi. Lopetegui mwenye umri wa miaka 51 kwa sasa anainoa timu ya taifa ya Hispania inayoshiriki Kombe la Dunia. Kocha huyo kijana ataanza kazi mara moja baada ya…
Mavugo Afunguka Mstakabali wake na Klabu ya Simba
Mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, amefunguka na kueleza kuwa mkataba wake na klabu yake unamalizika Julai 7 2018. Wakati mkataba wake ukielekea kumalizika, Mavugo amesema Yanga ni moja ya timu zinazomuwinda hivi sasa kwa ajili ya kukiboresha kikosi chake….
Kim Jong-un na Trump waalika kwenye Nchi Zao
Shirika la habari la serikali nchini Korea Kaskazini limesema kuwa kiongozi wa taifa hilo Kim Jong Un amekubali mwaliko wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kufika Washington. Kiongozi huyo alipewa mwaliko wakati wa mkutano wa historia baina ya wawili…