JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yabisha hodi Epanko

Serikali yabisha hodi Epanko *Wachimbaji wa sasa, wa zamani kikaangoni *Tume yapelekwa kuchunguza ukwepaji kodi *Mwekezaji avuna, wananchi waambulia soksi   MAHENGE NA ANGELA KIWIA Serikali inakusudia kuunda tume ya uchunguzi baada ya kuwapo taarifa za utoroshwaji madini ya spino…

Timu za Afrika sikio la kufa

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM   Wakati michezo kadhaa ya Kombe la Dunia ikiwa imepigwa katika viwanja mbalimbali nchini Urusi, timu kutoka barani Afrika hazioneshi kulitetea vema bara hili kama baadhi yake zilivyotamba wakati zikielekea Urusi.   Hadi Jumapili…

Maji yaunganisha Serikali, upinzani

*Serikali yafungua mlango uwekezaji  katika viwanda *Mbowe ataka elimu, gesi itumike kuzalisha umeme *Zitto apendekeza kodi ya maji Sh 160 kama umeme REA *Wabunge wapendekeza tozo ya maji miamala ya simu Na Waadishi Wetu, Dodoma   Kwa mara ya kwanza katika…

Unyama polisi

Unyama polisi *Mahabusu aliyejifungulia polisi hatimaye azungumza *Polisi wawa ‘miungu-watu’, wananchi wakosa mtetezi *Mbunge afichua rushwa, unyanyasaji, kubambikia kesi   KILOMBERO, NA CLEMENT MAGEMBE “Mungu ndiye kimbilio hatuna tena mwingine”, haya ndiyo maneno yaliyoandikwa kwenye kanga iliyotumiwa na mahabusu Amina…

Tanzia: Profesa wa Upasuaji Chuo Kikuu Muhimbili Afariki Dunia

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Prof. Adrea Pembe anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Leonard Lema kilichotokea leo asubuhi tarehe 18 Juni 2018 katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Prof. Lema alikuwa ni…