JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Watu 20 wafariki dunia katika ajali ya barabarani Mbeya

Takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine 48 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha zaidi ya magari matatu mkoani Mbeya. Ajali hiyo ilitokea katika mteremko wa Iwambi mkoani Mbeya. Hii ni ajali ya tatu kutokea Mbeya katika kipindi kifupi ambapo…

Mawaziri Walioteuliwa na Rais Magufuli Kuapishwa Leo

Mabadiliko, haya yalifanyika ambapo, RAIS John Magufuli jana amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri na katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kwa mujibu wa taarifa yake iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng .John Kijazi mabadiliko hayo ni kama…

Mmiliki wa Mabasi ya Zacharia Akamatwa

MMILIKI wa mabasi ya ‘Zacharia’, Peter Zacharia, anashikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwapiga risasi maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa wakiwa katika majukumu yao. Maofisa hao wanasemekana wako hospitali ya mjini Tarime wakipata matibabu…

Mali ya Yahya Jammeh kupigwa mnada

Serikali ya Gambia inapanga kuuza ndege za kifahari pamoja na magarai ya rais wa zamani Yahya Jammeh kwa njia ya mtandao. Nchi majirani waliingilia kati kumtimua madarakani Rais Jammeh baada ya kushindwa kwenye uchaguzi Disemba mwaka 2016 ambapo alikataa kuondoka…

Zari: Diamond Alipokuja Alilala chumba kingine na mimi nikalala chumbani kwangu.

ALIYEKUWA mpenzi wa Diamond Platinumz, Zarina Hassan “Zari The Bosslady”, amefunguka kuhusu alivyoombwa msamaha mara kibao na watu mbalimbali akiwemo Babu Tale ambaye hivi karibuni alisafiri hadi Afrika Kusini kumshawishi arudiane na staa huyo.   “Babu Tale alikuja Pretoria, alitaka…