Latest Posts
Tarime kwawaka
Tarime kwawaka *Vijana wachachamaa Zakaria kukamatwa usiku *Namba gari la ‘TISS’, la raia Tarime zafanana *Shabaha yamwokoa Zakaria, aliwindwa siku 7 *TISS waliojeruhiwa yadaiwa walitoka D’ Salaam TARIME NA MWANDISHI WETU Utata umezidi kuibuka kwenye tukio la…
Huduma za Mwendokasi ziboreshwe
DAR ES SALAAM ALEX KAZENGA Watanzania tulio wengi tu wazuri kuzungumza, lakini kwenye kutenda baso tunasuasua. Linapokuja suala la kutenda mipango tunayozungumza huwa tunakwama-kwama. Sijajua nini tatizo na kwanini tuwe kwenye hali hiyo au kwanini hatupati suluhisho la kudumu. Nikiutazama…
Mabula abaini uzembe ukusanyaji kodi
NA MUNIR SHEMWETA, LINDI Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amefanya ziara katika mikoa ya Lindi na Ruvuma kukagua mfumo wa ukusanyaji kodi ya ardhi, kuhamasishaji ulipaji kodi hiyo na kusikiliza kero za migogoro…
KAMANDA SIRO AFANYA MABADILIKO YA MA-RPC
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Siro amefanya mabadiliko ya Makamanda katika baadhi ya mikoa kama ifuatavyo. 1. SACP Deusdedit Nsimeki aliyekuwa Makao Makuu ya Upelelezi anakwenda kuwa RPC Simiyu. 2. SACP Ulrich Matei aliyekuwa RPC Morogoro, anakwenda kuwa…
MAJIMAREFU KUAGWA KESHO DAR, NA KUZIKWA ALHAMISI YA TAREHE 5/07/2018, KOROGWE, TANGA
Aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu enzi za Uhai wake. Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu, utaagwa kesho Julai 4, 2018 na baadaye mwili…
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA VIONGOZI WAKUU NA VIONGOZI WASTAAFU IKULU DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiiongozi Balozi John Kijazi akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam ili kukutana…