JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Maharamia watamba Rorya

Wizara ya Fedha imeombwa ipeleke boti wilayani Rorya, Mara ili kukabiliana na maharamia katika Ziwa Victoria. Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Simon Chacha, amesema matukio ya uvuvi haramu na biashara ya magendo vinashamiri Ziwa Victoria upande wa Rorya kutokana na…

Sunny Safaris waishi kwa bahshishi

Wafanyakazi 23 wa Kampuni ya Utalii ya Sunny Safaris ya jijini Arusha, wamelalamikia uongozi wa kampuni hiyo kwa kufanya kazi bila mikataba na kunyimwa mishahara kwa miaka miwili. Wanadai kuwa uongozi wa kampuni hiyo umekuwa ukiwafanyisha kazi kwa saa nyingi…

Kilichomponza tajiri Zakaria

Mfanyabiashara Peter Zakaria (58), amerejesha mali zote alizonunua kutoka Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza (NCU), akiamini kwa kufanya hivyo ataondoa ‘nuksi’ ya kuandamwa na Serikali. Tajiri huyo mkazi wa Tarime mkoani Mara, anayemiliki vitegauchumi mbalimbali yakiwamo mabasi ya Zakaria, amekabidhi…

ulius Mtatiro Mwenyekiti Kamati ya Uongozi CUF anashikiliwa na Polisi

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF Julius Mtatiro anashikiliwa na Polisi katika kituo Kikuu cha Polisi tangu jana July 5, 2018. Kwa muhibu wa alichoandika Zitto Kabwe katika Twitter yake na Facebook ni kuwa anahisi anatuhumiwa kwa kusambaza ujumbe…

RAGE AWACHANA NA KUWAPA USHAURI CECAFA, AWAKINGIA KIFUA YANGA

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amewashauri CEFACA kutoyachukulia mashindano ya KAGAME kama bonanza na badala yake yafuate ratiba. Rage ambaye aliwahi kuiongoza Simba kabla ya ujio wa utawala wa Evans Aveva, amewashauri CECAFA kupitia Katibu…