Latest Posts
Rais Magufuli fungua milango zaidi
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita Rais John Pombe Magufuli amefungua milango ya kukutana na viongozi wastaafu. Amekutana nao Ikulu na akasema utaratibu huu ataundeleza. Akasema atakutana nao mara kwa mara na katika kukutana nao hakuwabagua. Amekutana na wale walioko…
Maandiko ya Mwalimu Nyerere: Ujamaa Sehemu ya 3
Leo Tanganyika ni nchi masikini. Hali ya maisha ya umma iko chini kiasi cha kuaibisha. Lakini kama kila mtu katika nchi, mke kwa mume, atatambua hayo na kufanya kazi ukomo wa nguvu zake, kwa faida ya nchi nzima, basi Tanganyika…
Asante sana Lukuvi, wengine wakuige
Wahenga walisema: “Tenda wema nenda zako.” Wahaya na Wanyambo wanasema: “Ekigambo kilungi kigambwa.” Nao Wahehe wanasema: “Uwema kigendelo” au “Utende wema ubitage”; na kadhalika. Sasa ni miezi minne tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (pichani),…
Kortini kwa ‘kula’ fedha za Uchaguzi Mkuu
Maofisa wa halmashauri za wilaya nchini waliosimamia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2015 wameanza kuchunguzwa kwa matumizi mabaya ya fedha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema baadhi yao wamekwisha kufunguliwa mashitaka wakituhumiwa kuandaa nyaraka…
Mtoto wa miaka miwili afariki baada ya kujipiga risasi Texas, Marekani
MAREKANI : Mtoto wa umri wa miaka miwili nchini Marekani amefariki baada ya kujipiga risasi kichwani kwa bunduki ambayo imekuwa ikihifadhiwa na wazazi wake nyumbani kwao. Polisi wa Houston, Texas wanasema wazazi wa mtoto huyo – Christopher Williams Jr –…
Tume anayoitaka Mke wa Bilionea Erasto Msuya iundwe
Upande wa Mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili mke wa marehemu Bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (41), umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa jalada la kesi hiyo lipo kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini(DPP) analifanyia kazi. Wakili wa Serikali Mwandamizi,…