JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Julius Nyerere – Uzalendo

“Hatima ya nchi yetu ni jukumu letu. Kwa pamoja tunaweza kuisaidia nchi yetu kusonga mbele kuelekea kwenye haki zaidi na usawa zaidi kwa Watanzania wote.” Kauli hii imetolewa kwenye kitabu cha nukuu za Kiswahili za Rais wa Kwanza wa Jamhuri…

HABARI PICHA: Mke wa Kibonde azikwa Makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam

  Jana  July 13, 2018 Familia, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na mtangazaji Ephraim Kibonde wameuaga na kuuzika mwili wa marehemu Sara Kibonde ambaye ni mke wa mtangazaji Kibonde nyumbani kwake, Ubungo Kibangu na kisha baadae kuupumzisha mwili wake…

Ufafanuzi kuhusu tuhuma dhidi ya Prof Faustine Bee

Na Mwandishi Wetu Gazeti la JAMHURI linamwomba radhi Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Prof Faustine Bee, kutokana na habari zilizochapishwa katika matoleo ya kati ya Aprili na Septemba, 2016, habari zilihusu ufisadi katika Chama cha Akiba na…

BHOKE SEHEMU YA PILI

Leo kutenda ubaya ni sifa, na kutenda wema ni chukizo, leo kutenda dhambi ni sifa na kuishi kitakatifu ni chukizo katika jamii, leo katika jamii karibu yote mmomonyoko wa maadili ni kitendawili kisicho na jibu, leo karibu jamii yote ya…

Kwa Wazungu ni maombi, kwa Waafrika ni ushirikina!

Wazee kadhaa mkoani Mbeya walifunga barabara kwa muda ili kumwomba Mungu (siyo mungu) aepushe ajali zinazotokea mara kwa mara mkoani humo. Kama ilivyotarajiwa, tukio hilo limeibua mjadala miongoni mwetu. Mjadala huo ulijiegemeza zaidi katika maeneo makuu mawili. Mosi, wapo waliosema…

Matapeli mitandaoni ‘waliliza’ Kanisa MOROGORO

NA CLEMENT MAGEMBE Wezi wa fedha kwa njia ya mtandao wamevamia akaunti za barua pepe za mapadre wa Kanisa Katoliki na kuwaibia mamilioni ya fedha zilizotumwa kutoka kwa rafiki zao waishio nje ya nchi. Wizi huo umefanyika kati ya mwaka…