JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Hawa Hapa Wachezaji waliobeba Tuzo Kwenye Kombe la Dunia 2018

KIUNGO na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Croatia, Luka Modric ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2018 na kupewa Mpira wa Dhahabu wakati timu yake ikipoteza mchezo wao wa fainali kwa…

Angalia Ufaransa Walivyobeba Kombe la Dunia – Video

TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kunyakua Ubingwa wa Dunia mwaka 2018 baada ya kuifunga Croatia kwa bao 4-2.   Mabao ya Ufaransa yamewekwa kimiani na Mario Mandzukic aliyejifunga, Antoine Griezmann aliyefunga kwa njia ya penati pamoja, Paul Pobga pamoja…

Donald Trump na Vladmir Putin Kukutana Leo

  Rais wa Marekani Donald Trump na wa Urusi Vladmir Putin muda mchache ujao watakutana kwa mazungumzo, katika makazi ya Rais wa nchi hiyo mjini Helsinki, ambao ni mkutano wao wa kwanza kabisa kuwakutanisha pamoja. Mpaka sasa hakuna ajenda yoyote…

Magazetini Leo, JUmatatu, July, 16, 2018

LIVE MAGAZETI: Siku 8 za Obama Serengeti, Lissu awapa mbinu mpya wapinzani Related ItemsTZA HABARI Share Tweet Share Share comments ← Previous Story LIVE MAGAZETI: Kikosi kipya CCM kupambana na Matajiri, Wanataabika Next Story → LIVE MAGAZETI: Siku 8 za…

WAZIRI MKUU AWAONYA VIONGOZI WAPYA WA SHIRECU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wapya wa Chama Kikuu cha Ushirika Shinyanga wajipime kama wako tayari kuwatumikia wananchi na kama sivyo waachie ngazi.   Ametoa onyo hilo jana (Ijumaa, Julai 13, 2018) wakati akizungumza na mamia ya wananchi wa…

RAIS DK. MAGUFULI ATENGUA NA KUTEUA MKURUGENZI MKUU NSSF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Prof. Godius Kahyarara kuanzia leo 14 July 14, 2018. Prof. Kahyarara atapangiwa kazi nyingine. Kufuatia hatua hiyo, Rais…