Latest Posts
Tarime wazidi kuumana
DC, Mwenyekiti CCM Mkoa hapatoshi Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa yaketi TARIME NA MWANDISHI WETU Hali si shwari kati ya Mkuu wa Wilaya (DC) ya Tarime mkoani Mara, Glorious Luoga, na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara,…
Ndugu Rais wastaafu walichotuambia tumekielewa?
Ndugu Rais, mwanadamu mambo yake yanapomwendea kwa ufanisi mkubwa haombi ushauri. Anaomba ushauri yule ambaye kuendelea kwake kunampatia wasiwasi. Ndiyo kusema kama tumekubali kuwa tunahitaji ushauri kutoka kwa viongozi wetu wakuu wastaafu sasa, tunakiri kuwa kuna tatizo katika kuongoza au…
Rais Magufuli ateuliwa mshindi wa tuzo ya Ukombozi Afrika
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameibuka mshindi wa tuzo ya Afrika katika masuala ya uchumi. Makamo mwenyekiti wa kamati ya tuzo ya ukombozi Afrika, Mwebesa Rwebugia ameieleza BBC kwamba rais Magufuli ameibuka mshindi kutokana na mchango wake wa kiuchumi…
Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere
Rais Dkt. Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwl. Julius Nyerere kilichopo Kibaha, Pwani. Chuo hicho kinajengwa kwa gharama ya Sh. Bil 100, kwa ufadhili kutoka chama cha CPC cha China kwa ajili ya…