JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Meja Jenerali Qassem Soleimani wa Iran amuonya Trump

Kamanda wa kikosi maalum cha Iran amemuonya rais Donald Trump kwamba taifa lake litaharibu ‘kila kitu kinachomilikiwa na rais huyo’ iwapo Marekani itashambulia Iran. Meja Jenerali Qassem Soleimani aliapa kwamba iwapo bwana Trump ataanzisha vita, ‘jamhuri ya Iran itamaliza vita…

Diamond azuiwa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere

 Diamond Platnumz na msafara wake walikuwa katika hali ya taharuki kwa saa kadhaa baada ya kuzuiwa na Baraza la sanaa nchini Tanzania, BASATA walipokuwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenda kutumbuiza nje ya nchi…

Waziri Lugola maliza sakata la Lugumi

Ni miaka miwili na nusu sasa tangu Watanzania walipoanza kusikia kuhusu sakata la Kampuni ya Lugumi Enterprises kushindwa kufunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole kwenye vituo 108 vya Polisi, kama mkataba wa kampuni hiyo na Wizara ya Mambo ya…

Watu 20 wauawa Baada ya Bwawa Kupasuka Laos

Waokoaji wameanza harakati za uokoaji wa manusura baada ya bwawa kupasuka siku ya Jumatatu jioni , na kusababisha mafuriko yaliowauawa watu 20 katika vijiji Takriban watu 100 wametoweka na maelfu kupoteza makao yao. Mamlaka katika mkoa wa Attapeu imekuwa ikitumia…

UONGOZI YANGA WAWEKA HADHARANI VIINGILIO VYA MCHEZO DHIDI YA GOR MAHIA

Uongozi wa klabu Yanga umetangaza viingilio vya mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Gor Mahia FC utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Julai 29 2018. Kueleka mchezo huo wa Kombe la Shirikisho Afrika, Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amesema kuwa…