JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA TEMESA KUPELEKA KIVUKO LINDI

 Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandika, kuhusu hali ya miundombinu ya barabara, madaraja, vivuko, pamoja na viwanja vya ndege katika mkoa huo. Naibu Waziri huyo yupo katika ziara ya kikazi…

BAVICHA WASHANGAA LOWASSA KUMPONGEZA MAGUFULI

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema (Bavicha) limesema limeshtushwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Edward Lowassa, kumpongeza Rais John Magufuli kwa yale anayoyafanya. Akizungumza leo Alhamisi Januari 11, Katibu wa Bavicha, Julius…

BAVICHA WAMTOLEA POVU SHAKA WA UVCCM

Katibu wa Bavicha, Julius Mwita.   BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema (Bavicha) limesema limeshangazwa na kauli ya Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Shaka Hamdu Shaka, kuhusu sakata la Mbunge, Tundu Lissu kupigwa risasi. Akizungumza na…

RC Wangabo Atoa Mwezi Mmoja Kuwa na Mkakati wa Kuzuia Uvuvi Haramu Kuokoa Viwanda vya samaki Mwambao wa Ziwa Tanganyika

  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Kalambo pamoja na kamati yake ya Ulinzi na Usalama kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kukaa pamoja na kuandaa mkakati wa kuzui…

Lowassa Akutana na Mbowe Kuzungumza ya Ikulu

Rais John Pombe Magufuli alipokutana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Ikulu.   WAZIRI Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), Edward Lowassa amekutana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ili…

WAZIRI MKUU: TUMIENI TAMASHA LA BIASHARA KUKUZA BIASHARA YA UTALII

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko ya Zanzibar kuhakikisha inatumia Tamashara la Biashara la Zanzibar kama chachu ya kukuza biashara ya Utalii kama ilivyo kwa Dubai Shooping Festival na matamasha mengine Duniani. “Natambua kwamba kazi…