Latest Posts
Jean Pierre Bemba arudi nyumbani DRC baada ya muongo mmoja
Kiongozi wa upinzani nchini Kongo, Jean Pierre Bemba amerudi nyumbani leo, baada ya kukaa kwa takribani muongo mmoja akiwa kifungoni na nje ya nchi ya Kongo. Bemba alifutiwa mashataka hivi karibuni na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai ICC,…
Mkawas Akimbizwa India
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amesafiri kuelekea India kwa ajili ya matibabu. Taarifa ambazo imezipata Saleh Jembe hivi punde ni kuwa, Mkwasa amesafirishwa kuelekea nchini huko kutokana na matatizo ya kiafya ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa…
Cameroon imethibitisha kufanya mazungumzo na meneja wa zamani wa England -Eriksson
Cameroon imethibitisha kufanya mazungumzo na kocha wa zamani wa England Sven-Goran Eriksson kuchukua usukani wa kuifunza timu ya taifa hilo Indomitable Lions. Eriksson mwenye umri wa miaka , 70, raia wa Sweden alikuwa na mazungumzo mazuri na maafisa wa Shirikisho…
Lugumi Aitikia Wito wa Kangi Lugola
Mmiliki wa kampuni ya Lugumi, Said Lugumi leo asubuhi Jumanne Julai 31, 2018 amejisalimisha katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani jijini Dar es Salaam kuitikia wito wa waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola. Julai 21, 2018 Lugola alimpa…