Latest Posts
Mafanikio yoyote yana sababu (14)
Na Padre Dk. Faustin Kamugisha Kuwa na ndoto na kuzifanyia kazi ni siri ya mafanikio. Watu wanaofanya vitu vikubwa wanaota ndoto kubwa. Watu wanaofanya vitu vingi sana wanaota ndoto nyingi sana. “Unaamini katika ndoto? Ukitaka ndoto zako ziwe…
Serikali yadhibiti ‘Wakorea Weusi’ Mbeya
Na Thompson Mpanji, Mbeya JESHI la Polisi limesema limefanikiwa kudhibiti matukio ya kiuhalifu yaliyokuwa yanadaiwa kusababishwa na kundi la vijana lililoibuka na kujiita jina la ‘Wakorea Weusi’ ambalo lilionekana kuwa tisho kwa maisha ya wananchi wa mkoa huu na mali zao….
Maendeleo ni kazi
Wiki iliyopita kwenye maandiko ya mwalimu katika kitabu cha “Maendeleo ni kazi” tuliona agizo la mwalimu la kutaka chama tawala kushughuka na mambo ambayo tayawafanya wananchi kujitawala wenyewe katika maisha yao ya kila siku. Sehemu inayofuata ni mwendelezo wa tulipoishia…
MSD kuzindua bohari Bukoba, Songea
Na Mwandishi Wetu Bohari ya Dawa nchini (MSD) katika kuongeza unfanisi na kufikisha huduma karibu na wananchi katika mwaka huu wa fedha imepanga kuzindua bohari za kisasa za kuhifadhia dawa katika mikoa ya Kagera na Ruvuma. Mkurugenzi Mkuu wa…
Rais Magufuli Avunja Atengua Uteuzi wa Mwenyekiti wa NHC na Kuvunja Bodi ya NHC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation – NHC) Bi. Blandina Nyoni kuanzia leo tarehe 21 Machi, 2018….