Latest Posts
ROMA, STAMINA WAITWA BASATA
ZIKIWA zimepita siku tatu tangu wakali wawili wa hip hop Bongo wanaounda kundi la ROSTAM, Roma Mkatoliki na Stamina kuachia wimbo wao mpya wa ‘PARAPANDA’ wakivaa uhusika wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Kingunge Ngombaremwiru, wawili…
TAMWA YAHIMIZA MAZINGIRA SALAMA KWA WANAFUNZI SHULENI
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Eda Sanga na mgeni rasmi katika sherehe za Mahafali ya nane ya Darasa la Saba ya Shule ya Msingi St. Aloysius ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam…
ESTHER MATIKO APEWA ONYO MAHAKAMANI
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuonya Mbunge wa Tarime Mjini (Chadema), Esther Matiko, kwa kushindwa kuwasiliana na mdhamini wake. Onyo hilo limetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, katika kesi ya kufanya maandamano yasiyo halali inayowakabili viongozi tisa wa Chama…
Mbunge CCM Mbaroni kwa Tuhuma za Rushwa
MBUNGE wa Kishapu Mkoani Shinyanga (CCM), Suleiman Nchambi na viongozi watatu wa mgodi wa Stamigold uliyopo Tulawaka wilayani Biharamulo Kagera, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za rushwa. Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya…
SIMBA YAINGIA MKATABA WA MILIONI 250 NA MO ENERGY
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza kuingia mkataba wa mwaka na Kampuni ya Utengenezaji vinywaji ya A One Products kupitia kinywaji cha Mo Energy Drink. Mkataba huo utakuwa na thamani ya fedha za kitanzania, shilingi milioni 250. Kwa mujibu wa…