Latest Posts
KATIBU WA ZAMANI WA TFF ANUSURIKA AJALI YA GARI DAR
Mwanahabari mwandamizi na katibu mkuu wa zamani wa TFF, Angetile Osiah amenusurika kifo katika ajali mbaya ya gari, jana. Osiah alipata ajali mbaya baada ya gari lake kugonga roli akiwa njiani kwenda nyumbani kwake Chanika jijini Dar es Salaam. Akizungumza…
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amewataka wataalamu wa afya wilayani humo kutoa elimu ya njia sahihi za kunyonyesha watoto.
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amewataka wataalamu wa afya wilayani humo kutoa elimu ya njia sahihi za kunyonyesha watoto. Amesema elimu hiyo itawawezesha kinamama kupata kizazi chenye afya bora na kushiriki vyema masuala ya uchumi na kijamii kwa…
TCRA yawaburuza 13 kortini
Mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA) imewafikisha mahakamani watu 13 wakikabiliwa na mashtaka matano ikiwamo ya kusambaza taarifa za uongo, uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha wa zaidi ya Sh154 milioni. Wakili wa Serikali Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,…
JULIUS KALANGA AWAVULUGA CCM MONDULI
Wanachama wa CCM wilaya ya Monduli wameandamana kwenye ofisi za chama hicho wakitaka Mbunge wa CHADEMA Julius Kalanga aliyejiunga na chama hicho kufuata utaratibu ikiwemo hatua za uteuzi wa nafasi ya kugombania ubunge. Wakizungumza katika ofisi hizo wamesema wamesikia taarifa…
BASATA LAKANUSHA KUUFUNGIA WIMBOA WA PARAPANDA YA ROSTAM
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limesema halijaufungia wimbo wa Parapanda ulioimbwa na wasanii wa kundi la Rostam, Roma Mkatoliki na Stamina na kusema kuwa labda wameamua kujifungia wenyewe kwa lengo la kutafuta ‘kiki’. Kauli hiyo inakuja ikiwa ni siku…
SALUM MWALIMU : MILANGO IPO WAZI KWA WABUNGE NA MADIWANI WANAOHAMA CHADEMA
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu, amesema milango ipo wazi kwa wabunge na madiwani wa chama hicho wanaokubali kurubuniwa na kukikimbia chama. Alisema wabunge na madiwani hao hawana dhamira ya dhati ya kuwatumikia wananchi, hivyo wanaweza kwenda wanakorubuniwa….