JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

CHADEMA KUKUTANA KUJADILI HALI YA KISIASA NCHINI

KAMATII Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakutana leo Jumamosi, Januari 13 ikiwa ni siku nne tangu Edward Lowassa alipofanya ziara Ikulu na kufanya mazungumzo na Rais Dkt. John Magufuli jambo ambalo lilizua mjadala ndani na nje ya…

Kingunge Arudishwa Tena Muhimbili Baada ya Mazishi ya Mke Wake

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amerejeshwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuendelea na matibabu. Mzee Kingunge aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo Januari 10 ili kwenda kushiriki mazishi ya mkewe, Peras Ngombare Mwiru yaliyofanyika Alhamisi katika makaburi ya…

WALLACE KARIA ATEULIWA NA CAF KUWA KAMISHNA WA MECHI

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Wallace Karia ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF kuwa kamishna wa mechi Wallace Karia anatarajiwa kuwa kamishna wa mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Fainali za Africa kwa…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 13, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumamosi Januari,13, 2018 nimekuekea hapa                                    …

Rushwa ni Wizi, Dawa Yake ni Uwazi

“Rushwa ni wizi wa fedha za umma”. Hivyo ndivyo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki, Roeland van de Geer, anavyotaka Watanzania waielewe rushwa. Rushwa, kwa mujibu wa Balozi Geer, ni chanzo kikubwa cha…

WAKILI MSOMI PETER KIBATALA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Peter Kibatala ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Mkurugenzi wa Sheria na Katiba Maendeleo (CHADEMA) amefiwa na mama yake mzazi Bi. Anna Mayunga ambaye amefariki jana.