Latest Posts
Serikali Yaondoa zuio la Kuuza Mazao Nje ya Nchi
Serikali imeondoa zuio la kuuza mazao nje ya nchi ili kutoa fursa soko na mapato kwa wakulima. Hata hivyo, wanaotaka kuuza mazao nje ya nchi watalazimika kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizopo. Uamuzi huo umetangazwa leo Agosti 8 na Rais…
Tanzia: King Majuto Afariki Dunia
Muigizaji Mkongwe wa sanaa za vichekesho, Amri Athuman maarufu kama King Majuto amefariki dunia jioni ya leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki pamoja na wadau wa filamu nchini….
Yanga Kucheza na Timu ya Mchangni leo
Baada ya siku takribani tano kupita tangu kikosi cha Yanga kiweke kambi mjini Morogoro, imeelezwa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera ameomba mechi moja kukipima kikosi chake. Taarifa kutoka Morogoro zinasema Zahera ameomba apatiwe timu moja ambayo haishiriki Ligi Kuu Bara ili…
Hemed Morocco Aweka Wazi Kujiengua Singida United
Baada ya kuelezwa kujiengua ndani ya kikosi cha Singida United ikielezwa hajalipwa baadhi ya stahiki zake, Kocha Hemed Morocco, amesema hakuna kilichoharibika. Morocco amekuja na kauli ya kitofauti akisema hakuna tatizo lolote lililotokea baina yake na mabosi wa Singida, huku…
Dk Hamisi Kigwangalla Awashukuru Watanzania kwa Maombi yao, Afya Yake Inazidi Kuimarika
Jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwagalla, lakini kiongozi huyo aliisherehekea akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akipatiwa matibabu. Dk Kigwangalla alisherehekea siku yake akitibiwa baada ya kupata ajali mwishoni mwa…
RAIS WA JAMHURI YA UGANDA, YOWERI MSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI TANZANIA 9 AGOSTI 2018
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni atafanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini tarehe 09 Agosti 2018. Lengo la ziara hiyo ni kuimarisha ushirikiano na ujirani mwema uliopo kati ya Tanzania na Uganda. Mara baada…