Latest Posts
Barcelona Yatwaa Ubingwa wa Super Cup
Klabu ya Barcelona, imetwaa ubingwa wa kombe la Super Cup,kwa kuifunga Sevilla kwa magoli 2-1 katika mchezo uliochezwa nchini Morocco. Sevilla ndio walianza kuzifumania nyavu za wapinzani wao kwa kufunga goli ka kuongoza katika dakika ya tisa ya mchezo kupitia…
RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ameanza rasmi mpango wa kuviwezesha kiuchumi vilabu vya Jogging kwa kuvipatia mitaji ya kuwezesha kuanzisha miradi ya kujikwamua kiuchumi. Akizungumza wakati wa Bonanza la Vilabu vya Jogging…
Wananchi Kyela wajitokeza kupiga kura
Wananchi wa kata ya Mwanganyanga katika mji mdogo wa Kyela, jijini Mbeya leo asubuhi Jumapili Agosti 12, 2018 wamejitokeza kupiga kura kuchagua diwani. Msimamizi wa Uchaguzi katika kata hiyo, Amos Basiri amesema vituo vyote vimefungulia saa 1 asubuhi na wananchi…
Dodoma walizwa
Kampuni uuzaji viwanja, nyumba yafanya yake * Mamia waambulia patupu, waangua vilio * Ilitambulishwa bungeni kwa mbwembwe nyingi DODOMA NA MWANDISHI WETU Baadhi ya watumishi wa umma na watu binafsi jijini Dodoma wanalalamika kutapeliwa na kampuni ya uendelezaji ardhi, ya…