JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Basi la abiria lateketea kwa moto Kigoma

Basi la Kampuni ya Saratoga lenye namba za usajili T476 ADG lililokuwa likitoka mkoani Kigoma kwenda Sumbawanga limeteketea kwa moto eneo la Kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma. Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, ACP Martin…

Mbowe Ampa Pole Rais Magufuli kwa Kufiwa na Dada Yake

August 19,2018 Rais Magufuli amepata msiba kwa kufiwa Dada wa yake Marehemu Monica Magufuli amabye amefariki akiwa na umri wa miaka 63, ameacha watoto 9, pamoja na Wajukuu 25. Viongozi mbalimbali wametoa pole kwa Rais Magufuli kupitia mitandao ya kijamii. Mwenyekiti…

Rais wa Uganda Museveni anakanusha kwamba Bobi Wine amejeruhiwa

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekanusha kwamba mbunge wa upinzani Bobi Wine amejeruhiwa. Katika taarifa yake ya kwanza kuhusu afya ya mbunge huyo aliyekamatwa na vikosi vya usalama nchini, Museveni amevishutumu vyombo vya habari kwa kile alichokitaja ni kueneza habari…

Ghasia Nigeria: Watu wauawa katika shambulio la wanamgambo jimboni Borno

Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wenye itikadi kali za dini ya kiislamu wamekivamia kijiji kaskazini mashariki mwa Nigeria, na kuwaua watu kadhaa. Kuna taarifa za kutofautiana kuhusu idadi ya vifo vya watu huko Mailari, katika jimbo la Borno. Kiongozi mmoja wa…

Magazetini Leo, Tarehe 20, 08,2018

Good Morning Mtu wangu wa nguvu !! kutoka DSM Tanzania leo August 20, 2018 nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.

SIMBA YABEBA NGAO YA HISANI MWANZA DHIDI YA MTIBWA

Klabu ya Simba imefanikiwa kutwaa Ngao ya Hisani kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza jana. Simba imeibuka na ushindi huo kupitia mabao ya Meddie Kagere aliyefunga…