Latest Posts
Ronaldo, Modric, Salah Vitani Mchezaji Bora, Messi, Mbappe Waenguliwa
Shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza majina ya Nyota wanaoshindania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ulaya UEFA kwa mwaka 2017/2018 ambao ni Cristiano Ronaldo wa Juventus, Luka Modric wa Real Madrid na Mohammed Salah wa Liverpool. Hii ni baada ya kufanya mchujo…
Maandamano yazuka Kampala kupinga kukamatwa mbunge Bobi Wine
Vikosi vya usalama nchini Uganda wamewakamata watu 10 waliojihusisha na maandamano ya kupinga kukamatwa kwa Mbunge wa upinzani, Bobi Wine ambaye alikamatwa na kushitakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi wiki iliyopita. Shughuli za Biashara zimesimama katika Jiji la Kampala, leo Mchana…
Sikiliza Wimbo Mpya ya Hamisa Mobetto
Hamisa Mobetto, kaachia ngoma yake ya kwanza aliyofanya na Producer C9 ambayo inaitwa Madam hero
Familia za Korea Kaskazini na Kusini zilizotenganishwa na vita zakutana kwa mara ya kwanza
Kundi la watu wazee kutoka Korea Kusini kwa sasa wako nchini Korea Kaskazini kukutana na jamaa zao wenye hawajawaona tangu vimalizike vita vya mwaka 1950-1953. Vita hivyo vilisababisha rasi ya Korea kutengana na watu waliokuwa wanaishi upande wa Kaskazini wasikuwe…
Upelelezi unasubiriwa kutoka Australia kesi ya ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’
Kesi ya kughushi kibali cha madini ya U.S.D Mil 8 inayomkabili mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein maarufu ‘Ndama mtoto ya Ng’ombe’ kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo upelelezi wake unasubiriwa kutoka nchini Australia. Hayo yameelezwa na wakili wa serikali, Elia Athanas…