JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kujitegemea – Nyerere

“Kujitegemea maana yake ni kwamba hatuna budi kutumia kwa juhudi zetu zote rasilimali yetu tuliyonayo.” Nukuu hii imetolewa kwenye kitabu cha nukuu za Kiswahili za Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere. Ubaguzi – Mandela…

Imani za kishirikina zamsababishia binti ulemavu Dodoma

EDITHA MAJURA Dodoma Imani za kishirikina zinaweza kumsababishia Shukurani Samweli (34) ulemavu, vidole vyake vitatu vya mkono wa kushoto vitaondolewa kutokana na kuoza kulikosababishwa na kuunguzwa na mvuke wa maji moto. Mwanamke huyo mwenye watoto watano, ameshindwa kuendelea kunyonyesha mtoto…

Viwanja Ligi Kuu aibu

NA MICHAEL SARUNGI Ukosefu wa miundombinu rafiki kwenye viwanja vya michezo nchini ni changamoto inayokwamisha jitihada za dhati zinazofanywa na wadau wa michezo kuhakikisha michezo inakuwa moja ya sehemu kubwa inayozalisha ajira kwa vijana wenye vipaji vya michezo nchini Tanzania….

Kuelekea Uchaguzi 2020 Majimbo kufutwa

*Maandalizi ya mabadiliko makubwa yaanza *Mapendekezo ni halmashauri ziwe majimbo *Viti Maalumu navyo kupitiwa na marekebisho *Malengo ni kuleta tija na uwakilishi makini DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mabadiliko makubwa ya sheria yanapendekezwa, yakilenga kupunguza idadi ya majimbo, wabunge…

Maskini Jacana yetu Dodoma…!

Baada ya kustaafu utumishi wa umma, Mpita Njia au maarufu kama MN, amekuwa na fursa nzuri ya kutembea huku na kule kujionea fahari ya nchi. Anajua wapo wanaoweza kumuuliza wapi anakotoa fedha za kumwezesha kufanya utalii wa ndani ilhali ka-pensheni…

SERENGETI BOYS DIMBANI TAIFA LEO

Michuano ya vijana walio chini ya miaka 17 inayoendelea kutimua vumbi jijini Dar es salaa kufuzu fainali za Afcon leo Tanzania (Serengeti Boys ) watakuwa dimbani dhidi ya Rwanda (Amavubi Junior )vijana wa Kagame katika mchezo ambao utatoa matokeo ya…