Latest Posts
WASANII ASLEY , SHILOLE WASAINI NA TTCL KUNOGESHA KAMPENI YA RUDI NYUMBANI KUMENOGA
Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Bw. Waziri Kindamba (kulia) akibadilishana hati ya mkataba na msanii Zuena Mohamed maarufu kama Shilole ‘Shishi Baby’ (kushoto), mara baada ya kusaini mkataba huo. Mkataba huo ambao pia msanii Asley Isihaka maarufu kama Dogo Asley…
Upinzani Kongo – DRC kusimamisha mgombea mmoja
Vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) vinakamilisha utaratibu kumteua mgombea mmoja watakayemkabidhi jukumu la kupeperusha bendera katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini humo Desemba 23, mwaka huu. Kiongozi wa Chama cha UDPS, Felix Tshisekedi, Vital Kamerhe…
Maajabu ya mji uliozama baharini kisiwani Mafia
DAR ES SALAAM NA JUMA SALUM Awali ya yote naomba nikuhakikishie ndugu msomaji kuwa hii si hadithi ya kusadikika au tuseme ni stori ya kutunga, hii ni habari ya kweli ambayo haikujulikana kwa miaka mingi na kwa watu wengi. Kutojulikana…
Asili ya vyama vya siasa
Hapa nchini Tanzania nadhani hata huko ughaibuni kwenye nchi zinazojulikana kama za ulimwengu wa kwanza, wananchi wanazungumzia uwepo wa vyama vya siasa na demokrasia. Vyama vyenyewe kwa asili yake vilianza wapi na vilianza namna gani katika nchi zile, haijaelezwa wazi….
Ndugu Rais kwa unyama huu toa kauli
Ndugu Rais, unyama unaofanywa na baadhi ya polisi katika nchi yetu unazidi kuongezeka kila uchao. Leo tunashuhudia unyama huu ukifanywa na polisi hawa au yule, kesho tunashuhudia unyama mkubwa zaidi. Habari sasa ni polisi na unyama na unyama na polisi….
Kiswahili ni lugha yetu, vipi tunakibananga?
Na Angalieni Mpendu Historia inatueleza kuwa Kiswahili ni lugha kongwe miongoni mwa lugha mama nyingi zilizopo hapa nchini. Ni lugha adhimu, nadhifu na ni titi lisilokwisha hamu. Lakini baadhi ya Watanzania wanakibananga katika utumizi wake. Iwe katika msingi wa ujeuri,…