JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

DC Mgoni awaasa Watanzania kuendelea kudumisha amani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe MKUU wa wilaya ya Ileje, mkoani Songwe Farid Mgomi, amewaasa watanzania kuendelea kudumisha na kuimarisha amani, upendo, umoja na mshikamano ikiwa ni Tunu ya msingi wa Maendeleo katika Taifa la Tanzania lililoasisiwa na Hayati Mwalimu…

Mradi wa EACOP kuwawezesha watu wa asili katika kilimo na ufugaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arushaγ€€ Mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki ( EACOP ) umeanzisha mpango wa kuwasaidia waguswa wa mradi huo wanaoishi pembezoni mwa miji, maarufu kama watu wa asili katika sekta ya kilimo na ufugaji…

Uwekezaji sekta ya nishati Tanzania kunufaisha nchi wanachama EAPP – Kapinga

πŸ“Œ Ashiriki Mkutano wa Nchi Wanachama wa EAPP nchini Kenya πŸ“Œ Aeleza jinsi Tanzania inavyotekeleza miradi ya umeme kwa ufanisi πŸ“Œ Asema zaidi ya asilimia 99 ya Vijiji nchini vimesambaziwa umeme Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judidhi Kapinga amesema uwekezaji uliofanyika…

DC Lushoto aongoza wananchi kufanya usafi maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru

Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Zephania Sumaye aongoza wananchi Katika kufanya usafi na zoezi la upandaji miti kwenye hospital ya wilaya ya Lushoto hikiwa ni siku ya mahadhimisho ya kumbukizi ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika Sambamba na hayo…

Watoto vitani, kukabili mabadiliko ya tabianchi

Na Tatu Mohamed, JakhuriMedia WANAFUNZI na walimu katika Shule ya Msingi ya Kibondemaji iliyopo Mbagala, jijini Dar es Salaam wanachukua hatua za muda mfupi na za muda mrefu, kuzikabili athari za kimazingira katika shule hiyo, zinazoaminika kuwa matokeo mabadiliko ya…