JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU

Padre Dk. Faustin Kamugisha Mafanikio yoyote yanahitaji watu. Yanahitaji rasilimali watu. Ndege kiota, buibui, utando, binadamu, mahusiano. Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alipotaja mambo muhimu ili tuendelee, alianza kutaja watu. Ili kutimiza ndoto ya mafanikio unahitaji watu. Unahitaji watu…

NDUGU RAIS, TUNAICHEKELEA HALI YA NCHI ILIVYO KAMA MAZUZU

Ndugu Rais, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alikuwa muadilifu wa hali ya juu, mwenye hofu ya Mungu na tena kionambali. Wanasema bahati haiji mara mbili, hivyo tukubali tumepoteza kito cha thamani kubwa sasa ndiyo fahamu zinatujia! Tumekuwa ‘yamleka…

MAENDELEO NI KAZI SEHEMU YA SITA

Nimekwenda katika kijiji kimoja Iringa. Nadhani safari hiyo tulikuwa na Mheshimiwa Ng’wanamila – hii anayoimba anasifu mambo aliyojifunza Njombe na Iringa. Tumekwenda katika Kijiji kimoja cha Iringa- ni kijiji cha Waziri wa Kilimo, Joseph Mungai. Akanipeleka Joseph pale au tuseme,…

NUKUU SEHEMU YA 329

Nyerere – Siasa za ndani “…Mtu yeyote anayetuvurugia umoja wetu si mwenzetu. Hata angevaa ngozi ya kondoo huyu ni mbwa mwitu hatufai hata kidogo.” Nukuu hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilichukuliwa katika ukurasa wa 111 katika kitabu cha Nukuu…

WAHUSIKA WA KUPEPERUSHA BENDERA KWENYE MELI WAPANDISHWA KIZIMBANI

Watu wawili akiwemo Mkurugenzi wa Meli ya Lucky Shipping, Issa Haji (39) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi wa kupeperusha Bendera ya Tanzania bila kibali. Mbali ya Haji, mshitakiwa mwingine ni mfanyabiashara…