JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

16 WANAODAIWA KUKWAPUA FEDHA ZA USHIRIKA WILAYANI HAI ,WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA

WATU 16 wakiwemo viongozi wa Bodi ya Ushirika wa Umoja wa watumia maji katika kijiji cha Mijongweni (UWAMI) wanashikiliwa na Jeshi la  Polisi kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya  wakituhumiwa kuhusika na ubadhilifu wa fedha za…

Tamwa waandaa soko la wazi kuhamasisha wajasiriamali wanawake – Habari

Chama cha Waandishi wa Habari wanawake Tanzania (Tamwa) wameandaa soko la wazi litakalofanyika Dunga katika viwanja vya ofisi za Halmashauri, Jumamosi Septemba Mosi kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Agosti 30…

MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri , kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi…

MAAMUZI YA KOCHA STARS BAADA YA KUWATOSA WACHEZAJI WA SIMBA

KOCHA wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, M-Cameroon, Emmanuel Amunike, amekutana na wachezaji Simba aliowaondoa kwenye kikosi chake baada ya kuchelewa kuripoti kambini. Baada ya kukutana nao, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo ametoa taarifa kuwa…

Wanafunzi Waandamana Mwenzao Kupigwa na Mwalimu Hadi Kuzirai

WANAFUNZI wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita wameandamana kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Geita kupinga kitendo kile kinachodaiwa kwamba mwanafunzi mwenzao kupigwa na mwalimu hadi kupoteza fahamu.   Mwanafunzi huyo, Jonathan…