JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwanafunzi aliyezirai kwa kipigo, aruhusiwa kutoka hospitali

Mwanafunzi wa sekondari ya Kalangalala mkoani Geita, Jonathan Mkono anayedaiwa kupigwa na mwalimu wake na kulazwa hospitalini, ameruhusiwa leo mchana Septemba Mosi, 2018. Mkono alikuwa amelazwa hospitali tangu Agosti 30 baada ya kuchapwa na kupoteza fahamu na mwalimu wa nidhamu,…

  Serikali imesema iko tayari kutangaza katika Gazeti la Serikali msitu wa Mwalimu Nyerere uliopo Butiama Mkoani Mara kama eneo lindwa kimazingira, kufuatia ahadi iliyotolewa mwaka jana wakati wa kilele cha Siku ya Mazingira Duniani iliyofanyika Butiama Mkoani Mara. Hayo…

Meya mwita ataka Kiswahili kufundishia sekondari, vyuo

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita ameishauri serikali kuanza kutumia lugha ya Kiswahili katika kufundisha masomo ya shule za msingi, sekondari na vyuo ili kuwawezesha wanafunzi kupata uelewa. Kauli hiyo ameitoa jana jijini Dar es salaam alipokuwa…

Magazetini Leo Sptember 1, 2018

                   

Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu

Mwanariadha wa Kenyan Conseslus Kipruto alikaidi pigo la kupoiteza kiatu mapema ili kuibuka mshindi wa mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji katika ligi ya almasi ya IAAF Diamond League mjini Zurich, nchini Switzerland. Baada ya kupiga kona moja…

Watanzania 27 wasio na vibali wakamatwa Mombasa nchini Kenya

Watanzania 27 wamekamatwa mjini Mombasa Kenya baada ya kuingia nchini humo bila vibali maalum. Mamlaka ya usalama huko Mombasa inaendelea na mipango ya kuwarejesha nchini kwao. Baadhi ya watu hao wameshikiliwa na polisi katika kituo cha Likoni wakati wakisubiri kurejeshwa…